Jumatatu, 5 Oktoba 2015

UMEME BADO NI TATIZO

Tangu kampeni zilivyo anza watanzania tumekuwa tunaishi kwa tabu sana kutokana na tatizo la umeme ,
haipiti siku bila umeme kukatika  na mbaya zaidi hawatoi taarifa kabla umeme haujakatika na hata ukirudi hawaombi radhj kwa watumiaji wa umeme na kutoa sababu kukatika kwa umeme
sijui malengo yao ni nini au wanajiangalia wenyewe kwa maslahi yao huku wanatusahau sisi wananchi wao

Jumamosi, 3 Oktoba 2015

ANYTIME YOU WILL MORE NEWS WHEN ABOUT SPORTS,ENTERTAINMENT AND INTERNATIONAL NEWS

Habari ndugu zangu. karibuni katika blog yangu na tuanze kwa habari za michezo

leobarani ulaya kuna baadhi ya michezo katika premier zao, nchin uingereza mechi itakayoangliwa sana leo na kubeba hisia kwa watu wengi ni mechi kati ya MANCHESTER UNITED vs ARSENAL
hii ni mechi itakayo angaliwa sana kwa sababu kwanza kila timu ina mcezo wa aina wake na pia ukiangalia MAN U ya sasa sio MAN U ya miaka miwili kwa sababu mfumo ambao Van G AAL autumia ulikua mgumu sana kwa man u kuja kuuzoea na vile vile tangu kuanza kwa ligi man u wamepoteza mchezo mmoja tu kuliko arsenel  arsenal wamepoteza michezo mingi na licha kupoteza baadhi ya michezo washmbuliaji wao wapo vizuri sana  kuliko timu pinzani USIKOSE KKUTAZAMA HUO MCHEZO
michezo mingine ambayo itacezwa  na pia usikose kkungalia ni kati ya FC BAYERN vs B.DOTMUND

Alhamisi, 1 Oktoba 2015

Mtangazaji wa bbc swahili SALIMU KIKEKE akiwa anawapa somo na kuwashauri wanafunzi wa uhandishi wa habari katika chuo cha MACMILLAN TRAINING COLLEGE