Habari ndugu zangu. karibuni katika blog yangu na tuanze kwa habari za michezo
leobarani ulaya kuna baadhi ya michezo katika premier zao, nchin uingereza mechi itakayoangliwa sana leo na kubeba hisia kwa watu wengi ni mechi kati ya MANCHESTER UNITED vs ARSENAL
hii ni mechi itakayo angaliwa sana kwa sababu kwanza kila timu ina mcezo wa aina wake na pia ukiangalia MAN U ya sasa sio MAN U ya miaka miwili kwa sababu mfumo ambao Van G AAL autumia ulikua mgumu sana kwa man u kuja kuuzoea na vile vile tangu kuanza kwa ligi man u wamepoteza mchezo mmoja tu kuliko arsenel arsenal wamepoteza michezo mingi na licha kupoteza baadhi ya michezo washmbuliaji wao wapo vizuri sana kuliko timu pinzani USIKOSE KKUTAZAMA HUO MCHEZO
michezo mingine ambayo itacezwa na pia usikose kkungalia ni kati ya FC BAYERN vs B.DOTMUND
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni