Jumatatu, 5 Oktoba 2015

UMEME BADO NI TATIZO

Tangu kampeni zilivyo anza watanzania tumekuwa tunaishi kwa tabu sana kutokana na tatizo la umeme ,
haipiti siku bila umeme kukatika  na mbaya zaidi hawatoi taarifa kabla umeme haujakatika na hata ukirudi hawaombi radhj kwa watumiaji wa umeme na kutoa sababu kukatika kwa umeme
sijui malengo yao ni nini au wanajiangalia wenyewe kwa maslahi yao huku wanatusahau sisi wananchi wao

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni